Kwa nini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:


    (a)Miili yetu imepitwa na wakati,
    (b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.

    2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?

    (a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
    (b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

    NALILETA MEZANI TULIJADILI.
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

Post a Comment

أحدث أقدم