Maofisa wa Jeshi kutoka Chuo cha
Ukamanda na Unadhimu cha Ghana, wakitembelea Kiwanda cha Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Dar es Salaam, kwa lengo la kujenga ushirikiano katika
nyanja za Sayansi, Teknolojia, Kiuchumi na Kijamii.Maofisa wanaosoma
katika chuo hicho wanatoka Afrika Kusini, Nigeria, Ivory Coast, Togo,
Rwanda na Ghana.
Meneja Uhusiano wa TBL, Doris Malulu (kulia) akitoa maelezo kwa maofisa hao kuhusu shughuli mbalimbali za kampuni hiyo.
Maofisa wa Jeshi wakitembelea kiwanda hicho
إرسال تعليق