MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA ATEMBELEA KANISA LILILOLIPULIWA LEO ASUBUHI KUWAPA POLE WAHANGA WALIOFIKWA NA JANGA HILO, HOTUBA YAKE YAKATISHWA NA RADIO MARIA


Godbless  Lema ambaye  ni  mbunge  wa  arusha  ametembelea  eneo  la  kanisa  lililolipuliwa kuwafariji  wahanga  wa  tukio  hilo.....

Akiongea  kwa  jazba  na  hasira  na..
 wananchi  waliopo  eneo  la  tukio,Lema  ameitumu  serikali  kwa  mara  nyingine  na  kudai  kuwa  uzembe  wa  viongozi  ndo  chanzo  cha  matukio  kama  haya....

Hotuba  fupi  na  nasaha  zake  zilikuwa  zikisikika  moja  kwa  moja  kupitia  Radio  maria   kabla ya  kituo  hicho  kuamua  kukatisha  nasaha  zake.....

Haijafahamika  mara  moja  sababu  za  kukatishwa  kwa  hotuba  yake ...

Bado tunasubiri  taarifa  rasmi  ya  vyombo  vya  ulinzi  na  usalama  kuhusu  tukio  hilo

Post a Comment

Previous Post Next Post