Kutoka facebook muda huu Acc ya Adam Mchomvu imepost hivi nanukuu " Picha za uchi alizopiga Lady Jay D bofya hapa" then akaweka link, sina uhakika na hiyo link nini kipo ndani yake maana nimeshindwa kufungua.
Account hii inayotumia jina la Adam Mchomvu sijajua kama ni yake ama fake na kama yake wame hack wakaandika au ameandika yeye mwenyew , Maana Siku hizi watu wana tengeneza Account fake za watu maarufu ......sitii neno zaidi hapa


Post a Comment