| Mabomba ya mradi wa kusafirisha maji kutoka Mkoani Pwani yakiwa yametandazwa kwenye barabara ya Bagamoyo tayari yakisubiri kuchimbiwa chini ili kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo la maji linalo likabili jiji la Dar es Salaam kama yalivyokutwa na kamera ya mtandao huu leo. |
إرسال تعليق