Umoja wa Afrika (AU) sasa watangaza kumtambua rasmi Nyerere


nyerere
Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ni miongoni mwa Watanzania watatu wanaotarajiwa kutambuliwa na kuenziwa na Umoja wa Afrika (AU) rasmi kama Mwafrika Mashuhuri wa Kimajumui.



Hatua hiyo inatokana na kuheshimu mchango wao katika mapambano ya Uhuru wa Afrika na kuanzishwa kwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) ambao sasa unajulikana kama AU.
Watanzania wengine katika kundi hilo la ‘Mwafrika Mashuhuri’ ni Rashidi Kawawa na Sebastian Chale, Katibu Mkuu wa Kwanza wa..Read More
Source: Ziro99

Post a Comment

أحدث أقدم