WAZIRI DKT. MUKANGARA AKABIDHI BENDERA YA TAIFA KWA TIMU YA TAIFA YA GOFU

Selected 1Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangala akimkabidhi nahodha wa timu ya Gofu Bi. Madina Iddi Bendera ya Tanzania kabla ya kuanza safari yakwenda nchini Zambia kwaajili ya mashindano ya Gofu yatakayofanyika kuanzia tarehe 1 – 6 June mwaka huu. Selected 2Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangala akizungumza na Wanamichezo wa Gofu kutoka Chama cha Gofu cha Wanawake Tanzania (hawapo pichani) jana jijini Dar es Salaam. Selected 3Wachezaji wa mchezo wa Gofu wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa Bendera ya Taifa ya Tanzania (haipo pichani) na waziri wa Michezo kuiwakilisha Tanzania nchini Zambia.Picha zote na Genofeva Matemu – MAELEZO

Post a Comment

Previous Post Next Post