Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangala
akimkabidhi nahodha wa timu ya Gofu Bi. Madina Iddi Bendera ya Tanzania
kabla ya kuanza safari yakwenda nchini Zambia kwaajili ya mashindano ya
Gofu yatakayofanyika kuanzia tarehe 1 – 6 June mwaka huu. Waziri
wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangala akizungumza
na Wanamichezo wa Gofu kutoka Chama cha Gofu cha Wanawake Tanzania
(hawapo pichani) jana jijini Dar es Salaam. Wachezaji
wa mchezo wa Gofu wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa
Bendera ya Taifa ya Tanzania (haipo pichani) na waziri wa Michezo
kuiwakilisha Tanzania nchini Zambia.Picha zote na Genofeva Matemu – MAELEZO
إرسال تعليق