ABSALM KIBANDA AREJEA TANZANIA NA AFYA TELE NI BAADA YA MATIBABU YA KUNG'OLEWA JICHO, MENO NA KUCHA.
Hisia0
Kibanda baada ya kutua na kupokelewa na kundi kubwa la waandishi na
wahariri wa vyombo mbalimbali akiongea na vyombo mbali mbali. Kibanda
alishindwa kujizuia na kutokwa na machozi mbele ya waandishi.
Post a Comment