Gari
iliyobeba mwili wa Albert Mangwea ikisukumwa na washabiki,wapenzi ndugu
jamaa na marafiki mara baada kuanza kuondoka eneo la uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere hivi punde
wakielekea Muhimbili kwa taratibu nyingine,
Mungu ailaze roho ya marehemu
mahali pema peponi--Amen
Sauda Mwilima, ...huu ndio ukweli |
Polisi na nini.... |
Haikuwa kazi ndogo
Picha zote kwa hisani ya Jiachie Blog |
Gari
iliyobeba mwili wa Albert Mangwea ikisukumwa na washabiki,wapenzi ndugu
jamaa na marafiki mara baada kuanza kuondoka eneo la uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere hivi punde
wakielekea Muhimbili kwa taratibu nyingine,
Mungu ailaze roho ya marehemu
mahali pema peponi Amina
Post a Comment