WAKAZI DAR WASUKUMA GARI LENYE MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA KUELEKEA MUHIMBILI.

 Gari iliyobeba mwili wa Albert Mangwea ikisukumwa na washabiki,wapenzi ndugu jamaa na marafiki mara baada kuanza kuondoka eneo la uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere hivi punde wakielekea Muhimbili kwa taratibu nyingine,
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi--Amen
Sauda Mwilima, ...huu ndio ukweli
Polisi na nini....
Haikuwa kazi ndogo
Picha zote kwa hisani ya Jiachie Blog
 Gari iliyobeba mwili wa Albert Mangwea ikisukumwa na washabiki,wapenzi ndugu jamaa na marafiki mara baada kuanza kuondoka eneo la uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere hivi punde wakielekea Muhimbili kwa taratibu nyingine,
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amina

Post a Comment

أحدث أقدم