Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, January Makamba akibadilishana mawazo na wenzake , Naibu waziri Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck ole Medeye (aliyemgusa) na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa na mbunge wa Viti Maalum (CCM), mkoani Singida Martha Mlata

Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, January Makamba(katikati) akibadilishana mawazo na wenzake , Naibu waziri Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck ole Medeye (aliyemgusa) na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa. Kulia ni mbunge wa Viti Maalum (CCM), mkoani Singida Martha Mlata. Picha na Emmanuel Herman

Post a Comment

أحدث أقدم