Taarifa
iliyotufikia ni kwamba Adamu Juma adai kuacha kufanya video za
muziki,Akiongea na mtandao wa blogu ya mwananchi Adam juma amesema kwamba kwa sasa
anafanya kazi na NGOs mbali mbali kuelimisha jami,alisema tena kwamba
video production ni business yake lakini kwa sasa "right now im not
doing"lakini bado kuna wasanii anawasiliana nao kuwasaidia kibiashara na
kimaendeleo soim still around.Adam juma amesema haoni kama kutakuwa na
pengo kwa yeye kutofanya video kwani kuna video production company
nyingi zinafanya vizuri tu
ADAM JUMA (MTAYARISHAJI WA VIWANGO VYA JUU VIDEO ) AACHA KAZI YA KUSHOOT MUZIKI
Hisia
0
Tags
ENTERTAINMENT
إرسال تعليق