Ajali hii iliotokea majira ya asubuhi maeneo ya uyole wilayani mbeya.... kati ya Ice na Gari aina ya Toyota land cruise... HAICE hiyo iliyokuwa imebeba abiria,iligongana uso kwa uso na land cruise hiyo baada ya mashuhuda kusema,walimwona Land cruise akiyumba yumba baada ya kumkwepa mkulima aliekuwa akivuka barabara katika kumkwepa ndo kuvaana na haice hiyo.... mpaka sasa watu zaidi ya nane wanaofiwa kufa na wengine kujeruhiwa kutokana na ajali hiyo.. This is diamond inatoa pole kwa familia za wafiwa na salamu za pole kwa wagonjwa wanaoendelea kupata tiba katika hospitali ya wilaya ya uyole..... wapone haraka salmini...!! |
Post a Comment