AJALI MBAYA YATOKEA MAENEO YA UYOLE,WATU 8 WAHOFIWA KUFA...!!!

Ajali hii iliotokea majira ya asubuhi maeneo ya uyole wilayani mbeya....
kati ya Ice na Gari aina ya Toyota land cruise...
HAICE hiyo iliyokuwa imebeba abiria,iligongana uso kwa uso na
land cruise hiyo baada ya mashuhuda
kusema,walimwona Land cruise akiyumba yumba baada ya
 kumkwepa mkulima aliekuwa
akivuka barabara katika kumkwepa ndo kuvaana na haice hiyo....
mpaka sasa watu zaidi ya nane wanaofiwa kufa na wengine
kujeruhiwa kutokana na ajali hiyo..
This is diamond inatoa pole kwa familia za wafiwa na
salamu za pole kwa wagonjwa
wanaoendelea kupata tiba katika hospitali ya wilaya ya uyole.....
wapone haraka salmini...!!
Mihili ya watu waliopoteza maisha ikiwa imefunikwa
baada ya kutolewa ndani ya ICE...
GARI ZOTE ZIKIWA KATIKA HALI YA KUTISHA.

Post a Comment

أحدث أقدم