Muda mchache uliopita alitupia kupitia mtandao wake wa Instagram Picha hii chini akiwa ameiandikia maneno haya''Kinachoniuma zaidi ni jinsi tulivyokua tukijaribu kutengeneza HIT bila Mafanikio... si kwa nyimbo niliyokushirikisha wala uliyonishirikisha, zote Hazikufikia Malengo yetu na Kuplan kufanya Ngoma Mpya Ukirudi toka South Africa.... bt pia kwa Mipango ya Mwenyez Mungu Haijawezekana... RIP Brother, i will always miss and Respect you....''
Ayo ndio maneno aliyoandika Msanii Diamond Platnumz.... |
Post a Comment