ALICHOKISEMA DIAMOND KUPITIA MTANDAO WAKE WA INSTAGRAM KUHUSU MAREHEMU ALBERT MANGWEHA

Hali ya huzuni ikiwa imetanda juu ya nyuso za mamilioni ya
watanzania baada ya msiba mzito
uliotufikia Ghafla kwenye Tasnia ya Muziki wa Kizazi Kipya......
Tumesikia Producers,wanamuziki mbalimbali na watu mbalimbali
wakifunguka na kuongea lolote
juu ya marehemu Albert Mangweha....
Kupitia Mtandao wake wa Instagram bado
Mwanamuziki Diamond Platnumz
akiwa kwenye hali ya kutokuamini
kilichotokea muda mchache uliopita aliweza kufunguka
juu ya matarajio yake ya kufanya kazi za uhakika
na marehemu Albert Mangweha.......
Muda mchache uliopita alitupia kupitia mtandao wake wa
Instagram Picha hii chini akiwa ameiandikia
maneno haya
''Kinachoniuma zaidi ni jinsi tulivyokua
tukijaribu kutengeneza HIT bila Mafanikio... si kwa
nyimbo niliyokushirikisha wala uliyonishirikisha, zote
Hazikufikia Malengo yetu na Kuplan kufanya Ngoma Mpya
 Ukirudi toka South Africa.... bt pia kwa Mipango ya
Mwenyez Mungu Haijawezekana... RIP Brother, i will
 always miss and Respect you....''

Ayo ndio maneno aliyoandika Msanii Diamond Platnumz....
R.I.P ALBERT MANGWEHA....

Post a Comment

أحدث أقدم