ANGALIA PICHA MBALIMBALI ZA AJALI YA MOTO ULIOZUA KIZAA ZAA KARIAKOO JIJINI DAR

Hali ikiwa tete.
Moto ukiunguza paa la baa hiyo.
Shoti ya umeme ikitokea karibu na jengo hilo.
Watu waliojaa kushuhudia tukio hilo.

Moto mkubwa umezuka jijini Dar es Salaam karibu kabisa na Soko Kuu la Kariakoo leo asubuhi na kuteketeza baa moja. Chanzo cha moto huo inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme iliyotokea jirani na baa hiyo.

Post a Comment

أحدث أقدم