Arobaini ya mtoto wa mwana biafra


Mama mzaa chema Evelyne akiwa na mtoto
Picha zote Na:- michuzi-matukio.blogspot.com
Wanabiafra pamoja na marafiki wengine kwa pamoja walijumuika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Biafra Bw. Abdul Mollel pamoja na mkewe Bi. Evelyine katika arobaini ya mtoto wao Mollel Jr. Fuatilia matukio pichani.
Mollel na mkewe pamoja na mtoto wao

Mhamasishaji wa Biafra Chriss Matembo Mama Mollel Jr na Sada

Babuu Bwashee akimpongeza mama na mtoto

Emmy msechu naye akitoa pongezi

Kaka Poli akitoa pongezi

Wanabiafra

Wakati wa dua

#BYFT wakipata msosi

Biafra Queens wakipata msosi

Post a Comment

Previous Post Next Post