|
Mama mzaa chema Evelyne akiwa na mtoto |
Picha zote Na:- michuzi-matukio.blogspot.com
Wanabiafra pamoja na marafiki wengine kwa pamoja walijumuika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Biafra Bw. Abdul Mollel pamoja na mkewe Bi. Evelyine katika arobaini ya mtoto wao Mollel Jr. Fuatilia matukio pichani.
|
Mollel na mkewe pamoja na mtoto wao |
|
Mhamasishaji wa Biafra Chriss Matembo Mama Mollel Jr na Sada |
|
Babuu Bwashee akimpongeza mama na mtoto |
|
Emmy msechu naye akitoa pongezi |
|
Kaka Poli akitoa pongezi |
|
Wanabiafra |
|
Wakati wa dua |
|
#BYFT wakipata msosi |
|
Biafra Queens wakipata msosi |
إرسال تعليق