Arsenal wameongeza nguvu zaidi kumnasa Luis Nani wa Man Untd baada ya Man kukata kumlipa pesa anayo taka Nani kwenye mkataba mpya. Arsenal Wako Tayari kumpa mshahara anaotaka. Wanasema kuna uwezekano mkubwa Nani akaondoka Old Trafford na kwenda Arsenal ila mpaka sasa imethibitishwa kuwa Juventus, Monaco Na Galatasaray walikuwa wanamtaka kwa bei tofauti na anayo uzwa. Bei ya nani kwa sasa ni pauni milioni 8.5. Nani alikuja Old Trafford mwaka 2007 kwa pauni milioni 17. Nani amebakiwa na mwaka moja kwenye mkataba wake.
Mwezi wa nne kulikuwa na report kuwa Juventus wametayarisha pauni milioni 20 kumnasa Nani.[Chanzo metro.co.uk]
إرسال تعليق