Baadhi ya washindi wa Steps Bongo movie Awards 2013


.
Tuzo zimetolewa June 15 2013
Mwigizaji bora wa kiume 2012 ni JB ambae ameng’aa kwenye movie ya ‘Nakwenda kwa mwanangu’ aliyocheza na mzee Majuto.
Mwigizaji bora wa kike 2012 ni Irene Uwoya.
Best movie 2012 ni Kijiji cha Tambua haki ya marehemu Kanumba
Movie iliyouza sana 2012 ni Ndoa yangu ya Steven Kanumba.
Best Action movie ni ya Jimmy Master ya Double J
Best Negative role ameshinda Chek budi
Mwigizaji bora chipukizi ni Niva.
Best Supporting Actress ni Riyama Ally
Mwigizaji bora chipukizi wa kike ni Irene Paul.
Mchekeshaji bora 2012 ni King Majuto……

Mwongozaji bora wa filamu 2012 ni Vicent Kigosi (Ray)
majina ya washindi wengine na pichaz kuanzia za redcarpet utazipata baadae hapahapa 

Post a Comment

Previous Post Next Post