Baraza la Vijana La Chadema(BAVICHA)Washiriki Kuaga mwili wa mwanamuziki wa Muziki wa Kizazi kipya Albert Mangwea

Mwenyekiti wa Baraza la vijana la chadema John Heche akihojiwa na waandishi wa habari alipohudhuria kuaga mwili wa mwanamuziki wa Muziki wa Kizazi kipya Mangwea aliyefariki nchini Afrika ya Kusini na mwili wake kuletwa Tanzania kwa mazishi.
Vijana wa CHADEMA, wakiongoza na Mwenyekiti wa BAVICHA, John Heche Jana walijumuika na vijana wenzao na Watanzania wengine kutoa heshima za mwisho kwa mwanamziki Albert Mangwea, leo katika viwanja vya Leaders Club. Heche aliambatana na Diwani wa Sinza, Renatus Pamba, Kamanda Jackson Makala na Katibu wa Tawi la Sinza C, Peter Uiso. Hapa wanasalimiana na watu waliofika msibani, kushoto ni producer maarufu, Mako Chali.Picha na Chadema

Post a Comment

أحدث أقدم