Msanii wa Bongo Fleva hapa Tzee Aslay Isihaka alias Dogo Aslay baada ya
ku-make more money katika showz na ku-maintain pesa zake ameamua
kuwajengea nyumba Wazazi wake maeneo ya Gongo la Mboto,Dar es Salaam.
Msanii huyo mdogo kiumri but ni mkubwa kimawazo aliongea na BK Cop na kusema
“Ni kweli nawajengea wazazi wangu nyumba ya kuishi maeneo ya Gongo la
Mboto na pesa ninayowajengea nyumba wazazi wangu inatokana na showz
ninazozifanya na ninamuomba Mungu anijaalie ili niendelee kuwatunza
wazazi wangu”.
Kwasasa msanii Dogo Aslay ame-release a new track ‘Bado Mdogo’ aliomshirikisha Linah.
إرسال تعليق