FAHAMU WASANII WALIOHAIRISHA SHOW ZAO KWA MSIBA WA LANGA



Kupitia mtandao wa Twitter Wana Hip Hop kutoka Arusha WEUSI kila mmoja kwa wakati wake wamefunguka kuhusu kuhairisha show zao.
Nikki wa pili ambae alitarajia kufanya show Club Kakala amehairisha pamoja na G Nako

Nick Mweusi ‏@nikkwapili
KAMA HIZI HABARI ZA LANGA NI KWELI SHOW YANGU NA GNAKO CLUB KAKALA HAiTAfANyIKA. RIP LANGA

Nae Joh Makini kaka mkubwa wa Nikki wa pili amesema hatoachia tena ngoma  yake katika kipindi hiki,


Johmakini ‏@JohMakini
Sitoachia tena ngoma yangu mpya mpaka tutakapomaliza msiba wa msanii mwenzangu #RIP LANGA

Tweets zake nyingine aliandika

Johmakini ‏@JohMakini 14h
Mara ya mwisho kuongea ni uliponiambia nichek beat kwenye email alaf tuchangie mawazo kutakufuta idea daaah! #RIP LANGA

Johmakini ‏@JohMakini 14h
Baadae tena ukanitext umepata idea mbili platinum ideas tukienda studio tunaua!


Johmakini ‏@JohMakini 14h
Sasa umeondoka ghafla mimi na dunga tumebaki na beat tu sasa #RIP LANGA

Post a Comment

أحدث أقدم