FEZA WA TANZANIA ANUSURIKA KUYAAGA MASHINDANO YA BIG BROTHER

FEZA azidi kupeta mjengoni....

Mtanzania FEZA amenusurika kutoka katika jumba la biggie baada ya kuwa up for possible eviction kufuatia kuwekwa kitanzini (nominated) Jumatatu iliyopita... 
Koketso mshiriki kutoka South Africa na LK4 ambaye ni mshiriki kutoka Uganda wamekuwa washiriki wa tatu na wa nne kutoka katika jumba la Big Brother Africa baada ya Denzel na Huddah kuyaaga mashindano  wiki  iliyopita..
Hivi ndivyo walivyopigiwa kura na nchi tofauti :
Total: Hakeem = 6; Feza = 3; Dillish =3, Koketso = 2, LK4 = 1. (Total: 15 Votes)

Feza aliyekuwahatarini kutoka kutoka na badala yake votes zimemuokoa na ataendelea kuwemo mjengoni pamoja na mtanzania mwingine Nando, na nchi zilizopiga kura,tungetegemea majirani zetu Uganda na Kenya kuvote kwa Feza  lakini ilikuwa kinyume,ni Tanzania na nchi za west africa,Ghana &Sierra leon kitu kilicholeta mtafaruku mkubwa on social networks,na zamu hii Mwakilish wa kenya yuko on danger,do u think ni nini kitatokea..lets wait n see

Post a Comment

Previous Post Next Post