Tetezi nilizozipata kutoka kwa wakazi wawili wa mtwara (ambao ni wafanyabiashara) zinasema kwamba wakazi wa mtwara leo wanafanya mgomo baridi bila kupambana na mtu ili kushinikiza mbunge wao aachiwe. Wamepanga kutofungua biashara yoyote wala kuendesha maandamano ya aina yoyote kwa siku nzima ya leo.
Wafanya biashara hao wawili walifuata mzigo Dar na sasa wameamua kusubiri siku ya kesho ipite ndipo waende.
Mwenye Taarifa nini kinaendelea huku tujuze Hapa
Post a Comment