GARI LITAKALO BEBA MWILI WA MAREHEMU MANGWEA KWA TANZANIA NI HILI HAPA


Leaders club maandalizi ya mwisho kabisa kwa ajili ya kwenda airport kuupokea mwili wa marehemu mangwea ambao utaingia leo saa 7 na ndege ya kisha kupelekwa moja kwa moja katika hospital ya taifa ya muhimbili kwa ajili ya kuifadhiwa mpaka kesho saa 2 maiti itafika katika viwanja vya leaders club na saa4 shughuli za kuaga mwili wamarehemu zitafanyika mpaka saa 7 ndiotmwili utasafirishwa kwenda morogoro na utalala kwenye nyumba yao na kesho yake siku ya alhamis ndio marehemu albert mangwea utaagwa tena na kuzikwa huko huko morogoro na hii ndio safari ya mwisho ya msanii albert mangwea mungu alaze roho ya marehemu albert magwea mahala pema peponi.amin
























R.I.P MANGWEA

Post a Comment

أحدث أقدم