Leila Hall anablogu kuhusu gwaride la kwanza la mashoga kuwahi fanyika nchini Lesotho:
Tukio hilo limeandaliwa na Kikundi cha Kutoa msaada cha MATRIX- Shirika lisilo la kiserikali la Lesotho- linatetea haki za watu kama wasagaji, mashoga, wenye hisia za mapenzi kwa jinsia zote mbili, Wanaogeuza jinsia nchini humo. Shirika hilo, ambalo lilitambuliwa kisheria mwaka 2010, kama lilivyo gwaride la mwaka huu ni shirika la kwanza la aina yake nchini Lesotho.
Imeandikwa na Ndesanjo Macha· Imetafsiriwa na Joyce Maina.
Soma habari nyingine zilizotafsiriwa kutoka kwenye lugha mbalimbali ili zisomeke katika lugha ya Kiswahili katika jarida tando la Global Voice Online (bofya hapa).
Post a Comment