IMG_0630
 Kama unavyoona katika picha ya kamera ya Mo Blog hivi ndivyo jina la uwanja wa kimataifa wa jiji la Dar es Salaam linavyosomeka nyakati za usiku.
Hatuna uhakika ni jina la nani na vile vile hatujui wageni wanaoingia jijini hapa kwa mara ya kwanza watauitaje.
Swali la msingi ni kwamba hatuwezi kutengeneza taa za kukamilisha jina hilo au sio muhimu au hatujaona?
Haya sisi tunaishia hapa lakini mamlaka husika ni aje….?
IMG_0625
IMG_0624
IMG_0632