HILI NDO KABURI ALIPOZIKWA MPENDWA WETU NGWAIR, TAZAMA PICHA


clip_image001
Hii ndio nyumba ya Milele ya Msanii Albert mangwea aliye fariki huko nchini South African na kuzikwa leo Nyumbani kwao Morogoro. Daima tutakukumbuka kwa Ucheshi wako na Kwa kujituma kwako katika Tasnia nzima ya Muziki nchini.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema.

Post a Comment

Previous Post Next Post