Hii
ndio nyumba ya Milele ya Msanii Albert mangwea aliye fariki huko nchini
South African na kuzikwa leo Nyumbani kwao Morogoro. Daima
tutakukumbuka kwa Ucheshi wako na Kwa kujituma kwako katika Tasnia nzima
ya Muziki nchini.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema.
إرسال تعليق