Siku ya leo, Mbeya City rapper IZZO BIZNESS was shooting his new music video ambayo itafuata … Ni video ya ngoma yake ya LOVE ME aliyofanya na SHAA pamoja na BARNABA … Ilikuwa ni siku nzima ya kazi kubwa ya shooting ya video hiyo …
Imefanywa na Dir. NICK DIZZO kutoka kampuni ya utengenezaji video ya E-MEDIA … Kila mtu alikuwepo kufanikisha uchukuaji wa video hiyo …
Hizi baadhi ya picha za location tofauti za video hiyo, zitazame hapa chini ;
Post a Comment