JANJARO MTANASHATI KUACHIA NGOMA NYINGINE

Msanii anaefanya muziki wa kizazi kipya kutoka  Tanzania maarufu kama Janjaro anatarajia kuachiaSerebuka … Janjaro ambae kwa sasa anafanya vizuri sana kwa sasa na ngoma yake ya Maisha Ya Skonga ambayo amemshirikisha msanii mwenzie kutoka katika label ya Mtanashati Entertainmentakijulikana kama PNC anatarajia kuachia ngoma yake hiyo mpya “SEREBUKA” ambayo ameshirikiana na kundi la Jambo Squad kutoka Arusha
JAMBO SQUAD “Mamong’oo” hivi karibuni walishinda tuzo za KTMA2013 kama kundi bora la muziki …
Ngoma hiyo ya SEREBUKA imetengenezwa na Producer DX kutoka Studio ya NoizMekah zilizopoArusha pia.

Post a Comment

Previous Post Next Post