Uganda’s popular artist, Jose Chameleone ambaye anafanya vizuri katika industry ya muziki especially nchini humo ametembelea VOA nchini Marekani …
Dr. Jose ambae kwa sasa anatamba na baadhi ya ngoma zake kama Valu Valu, Badilika na nyinginezo ambazo zote hizo zipo katika album yake mpya ya Badilisha kwa sasa yupo nchiniMarekani katika Tour yake ya Badilisha Tour ambapo amekuwa akipiga show katika miji tofauti na kutembelea sehemu mbali mbali ambazo ni maarufu na za kihistoria zilizopo nchini humo.
Mpya kabisa kutoka kwa mwanamuziki huyo ni kuwa mapema masaa machache yaliyopita kupitia ukurasa wake wa Facebook ametupia picha inayomuonesha akiwa katika kituo cha kimoja kikubwa cha habari kilichomo nchini humo kinachojulikana kama “VOICE OF AMERICA”.
Chameleone alitupia picha hiyo pamoja na kuandika hivi…“We will open the book. Its pages are blank. We are going to put words on them ourselves. The book is called Opportunity and its first chapter is “Chameleone, the Uganda Music sensation” .Thank you VOICE OF AMERICA, thank you David Buakei, it was a great interview we had there. And for you Africa,The Leone island will stop at nothing in pushing African music to the next level… ALUTA CONTINUA : TUGENDE TUKOLE…. NORTH AMERICA 2013, the tour continues”.
إرسال تعليق