KAA TAYARI KUPOKEA NGOMA KALI KUTOKA KWA RAMADEE - AMEMSHIRIKISHA LADY JAYDEE

RAMA DEE anataraji kutoa ngoma yake nyingine … Mshindi huyo wa tuzo za Kili, yaani KTMA 2013 kwenye muziki atafanya hivyo hivi karibuni ambapo ndani ya ngoma hiyo ameshirikisha mwanadada LADY JAYDEE …
Ngoma hiyo bado haijafahamika jina, but we’ll tell you as soon as tukilipata 

Post a Comment

Previous Post Next Post