Safari na Muziki Shilole na Mkandamizaji watua kwa amani ndani ya Washington DC


Juu na chini ni Wasanii Masanja mkandamizaji na Shilole katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi wa sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na tamasha la Utamaduni wa Kiswahili, Bwn. Baraka Daudi alipokwenda kuwapokea walipotinga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia.

  
Wasanii Masanja mkandamizaji na Shilole katika picha ya pamoja na  Bwn. Baraka (Picha ya kulia) Asha Haris akiwa na Shilole kwenye mapokezi 

Asha Haris  mjumbe aliyewawakilisha Tano Ladies kwenye mapokezi hayo akipata picha ya pamoja na wasanii Masanja Mkandamizaji na Shilole mara tu walipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia.

  
Shilole na Mkandamizaji na  katika ukodak moment alipokua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia.

Msanja akionyesha uwanja wa Julius Nyerere wa Marekani "UNABISHA" Picha na Luke Joe Vijimambo

Post a Comment

Previous Post Next Post