KALA JEREMIAH ATANGAZA ZAWADI YA PESA KWA MASHABIKI WAKE WA FACEBOOK

KALA JEREMIAH
Msanii wa muziki wa Rap na mshindi wa tuzo 3 za Killi Music Awards Kala Jeremiah ametangaza dau kwa shabiki yake atakayeweza kupiga picha mfano wa hiyo hapo juu pindi atakapofikisha likes 44,444. 
Hapo jana page yake ya ya Facebook "Dear God" ulipata likes 33,333 kama ionekanavyo kwenye picha na ametoa shukurani kwa mashabiki wake walio like na kufikisha idadi hiyo. sambamba na hilo ameamua kutangaza dau la shilingi laki moja(100,000) kwa mtu atakayefanikiwa kupiga picha ukurasa wake (page) huo pindi utakapofikisha idadi ya like 44,444 
  soma chini hapo alichokiandika then kama vipi changamkia dili hilo....

Post a Comment

Previous Post Next Post