![]() |
KALA JEREMIAH |
Msanii
wa muziki wa Rap na mshindi wa tuzo 3 za Killi Music Awards Kala
Jeremiah ametangaza dau kwa shabiki yake atakayeweza kupiga picha mfano
wa hiyo hapo juu pindi atakapofikisha likes 44,444.
Hapo
jana page yake ya ya Facebook "Dear God" ulipata likes 33,333 kama
ionekanavyo kwenye picha na ametoa shukurani kwa mashabiki wake walio
like na kufikisha idadi hiyo. sambamba na hilo ameamua kutangaza dau la
shilingi laki moja(100,000) kwa mtu atakayefanikiwa kupiga picha ukurasa
wake (page) huo pindi utakapofikisha idadi ya like 44,444
soma chini hapo alichokiandika then kama vipi changamkia dili hilo....
إرسال تعليق