Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA) na Idd Azzan ambaye ni Mbunge wa Kinondoni (CCM), wameanza kujichua kwa ajili ya mapambano yao ya ndondi katika Tamasha la Matumaini 2013 litakalofanyika Julai 7 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Halima Mdee atazipiga na Jacqueline Wolper wakati Idd Azzan ataoneshana ubabe na Jacob Steven ‘JB’
إرسال تعليق