Hii Ni picha ya kwanza wanapiga toka vyombo vya habari viripoti kuwa hawaelewani, Wasanii Ambao hutupiana maneno kwenye nyimbo zao, Raisi wa Tip Top Connnection Madee na Afande Sele katika Uwanja wa Jamhuri Morogoro. Wameletwa pamoja na msiba wa Ngwear. #RIPNgwear.
Picha na sammisago.com
إرسال تعليق