MARCO CHALI FOUNDATION EPIC OPEN MIC inachukua hatua nyingine tena … Baada ya kumalizaMWEMBE YANGA, sasa ni Tarehe 15 Mwezi wa 6 … Yaani Jumamosi ya kesho kutwa … “EPIC OPEN MIC Na MARCO CHALI FOUNDATION” … Itafanyika pale ofisi za ZANTEL MAKAO MAKUUkuanzia SAA 3 Asubuhi Mpaka SAA 12 Jioni …
Kama wewe ni msanii unaejiamini na unahitaji kusikilizwa KIPAJI CHAKO cha KUIMBA auKUCHANA… Njoo ili usikilizwe na Marco Chali …
Pia unaweza ukatuma neno CHALI Kwenda Namba 15678 ili kuweza kujiunga na Epic Open Mic … “KUMBUKA” Watakaosikilizwa ni wale wa MTANDAO wa ZANTEL Pekee
إرسال تعليق