Katibu
Mkuu ofisi ya Raisi na utumishi wa umma Bw. George Yambesi akijadiliana
jambo na Rais wa (AADCL) na Mkurugenzi (DLC) kutoka Senegal Bwana Mor
Seck kushoto kwa Bw. Yambesi ni Mkurugenzi mtendaji wa (TAGLA) Charles
Senkoro.
Katibu
mkuu wa ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma Bw. GEORGE
YAMBESI amewataka wajumbe wa umoja wa vituo vya elimu kwa njia ya
mtandao barani AFRIKA washirikiane na makampuni ya TEHAMA na simu za
mikononi kuwafikishia elimu wananchi walio maeneo ya Vijijini Mkutano
huo ni wa siku tatu.Pichani ni washiriki wa mkutano huo.(picha na Chris
Mfinanga).
إرسال تعليق