Mkutano wa CUF Matemwe Mamiaa ya wananchi warejesha kadi za CCM


Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Wafuasi wa CUF wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, katika mkutano uliofanyika Matemwe

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Mwakilishi wa jimbo la Mji Mkongwe, Ismail Jussa Ladhu akizungumza na wafuasi wa CUF katika mkutano uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akionesha kadi miongoni mwa kadi za CCM zilizorejeshwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Naibu Katibu Mkuu wa CUF Hamad Massoud Hamad, akizungumza na wafuasi wa CUF katika mkutano uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja. (Picha na Salmin Said, OMKR)

Mamia warejesha kadi na kumkabidhi Maalim Seif. Wasema Zanzibar kwanza, wamechoka kutumiwa kuwa madalali wa nchi yao

Post a Comment

أحدث أقدم