MR. II [SUGU] KU-SHOW LOVE KATIKA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE


Just recently, mwanadada LADY JAYDEE ametangaza kuwa Mh. Joseph Mbilinyi [MB] a.k.a Mr. II –SUGU atawakilisha katika show yake ya ijumaa hii … Show hiyo ya JAYDEE katika kutimiza miaka 13 ya muziki wake, pia atazindua album yake mpya itakayoambatana na activities tofauti tofauti …
JAYDEE alitupia picha anayoonekana na Mr. II pamoja Profesa J with a caption,  “Tar 14 June kwenye sherehe za miaka 13 ya Jide kutakuwa na ugeni mwingine Mr. 2 SUGU ndani ya nyumba… Atakuja ku show love,,, Sema Unachowezaaa Mambo ya fedhaaaa”

Post a Comment

Previous Post Next Post