Msanii Ashley Toto ambae ni Msanii Anayechipukia kwenye tasnia ya filamu
ziku za karibuni ameonekana akiweka picha alizopiga na wasanii wa kubwa
East africa , Kama Bob junior ,Jaquar ,nameless n.k , picha hizo
zimezua maswali kwa wengi na kuuliza ana uhusiano gani
nao....Tumemtafuta na kumuuliza haya ndio majibu yake...."Mimi naishi
huku ujerumani na kwa kipindi kirefu sana mimi na wenzangu huwa tuna
wapromote wasanii kuja kuperform huku so msishangae nikipiga picha nao ,
Hakuna kinachoendelea hapo zaidi ya Kazi " Says Ashley
Post a Comment