Msanii Ashley Toto na Wasanii Wakubwa wa East Africa Kunani?





Msanii Ashley Toto ambae ni Msanii Anayechipukia kwenye tasnia ya filamu ziku za karibuni ameonekana akiweka picha alizopiga na wasanii wa kubwa East africa , Kama Bob junior ,Jaquar ,nameless n.k , picha hizo zimezua maswali kwa wengi na kuuliza ana uhusiano gani nao....Tumemtafuta na kumuuliza haya ndio majibu yake...."Mimi naishi huku ujerumani na kwa kipindi kirefu sana mimi na wenzangu huwa tuna wapromote wasanii kuja kuperform huku so msishangae nikipiga picha nao , Hakuna kinachoendelea hapo zaidi ya Kazi " Says Ashley

Post a Comment

أحدث أقدم