Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) Absalom Kibanda apokelewa na mamia

Waandishi wa habari na wanaharakati wakisubiri kumpokea  Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda.


 Baadhi ya wapiga picha wakiwa Uwanja wa Ndege wakati wa mapokezi ya Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda.

Mjumbe wa Bodi wa Jukwaa la wahariri, Theophil Makunga akimlaki Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda alipowasili jana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Afrika Kusini kwa matibabu.

Kibanda akiwasili.

Absalom Kibanda (katikati).

 Umati wa waandishi wa habari pamoja na wanaharakati wakiwa katika mapokezi ya Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri.



Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Picha kwa Hisani ya Habari Mseto Blog

Post a Comment

أحدث أقدم