Nando na Feza Kessy watakuwa watawala wapya wa Big Brother House starting from Monday. Pretty boy Nando will be getting a chance to fill his grown man shoes on Monday when he takes the helm from current HoH Annabel.
Hii ni mara ya pili kwa mwanadada Feza Kessy kuwa head of the house kwenye mjengo wa Big Brother. Kwa upande wa Nando hii ni mara yake ya kwanza kuonja cheo hicho cha king of the house.
Hii ni mara ya kwanza kwa washiri kutoka Tanzania kupata cheo hicho cha Head Of The House (HOH) wakati mmoja
إرسال تعليق