NAPE: WAKINA MAMA JITOKEZENI KUPIGA KURA USALAMA WA KUTOSHA


 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ,akiwa kwenye mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea wa kiti cha udiwani cha kata ya Kimandolu,Arusha.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Kimandolu wakati wa kampeni za udiwani .
Mgombea wa kiti cha udiwani, Ndugu Edna Jonathan Sauli akisalimia wakazi wa kata ya Kimandolu wakati wa kampeni za udiwani

Post a Comment

Previous Post Next Post